The Lyric Archive - Song Lyrics
[Main] [Artists list] [Charts] [Genres] [Last added lyrics] [ Advanced Search]
# A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z




#  A  B  C  D  E  F  G  H  I  J  K  L  M  N  O  P  Q  R  S  T  U  V  W  X  Y  Z  

Rating:  4.55 (20 votes)
Rate It:   Poor  Poor  Average  Hot. Excellent  Hot. Excellent
Composer: John Ngereza's Les Wanyika Band

Les Wanyika - Amigo lyrics



Tabia zako zimeshakupasae
Mke na watoto wamekimbia
Tulikukanya chunga heshima yako,
Mke na watoto wako nyumbani,
Ndio hazina ya maisha yako.... Amigo, Amigo

Wakati tunakupa ushauri we,
Uliona sisi watu fitina,
Twaingilia mambo yako ya ndani,
Na kwamba tukuache kama ulivyo,
Sababu wewe bingwa wa maisha... Amigo, Amigo

Thamani ya mke ni mavazi,
kula vizuri kulala vizuri
ndio siri ya kudumisha ndoa
mtaishi kwa raha amigo
watoto wako wapeleke shule,
kwa manufaa yao ya baadaye,
Elimu ndio zawadi muhimu
Kwa watoto wako, Amigo
Badala yake mabo yote hayo,
kwa mkeo imekuwa ni ndoto
Maisha yake ya kubahatisha
Na kazi unfanya, Amigo
Amechoka mwisho kakimbia
umebaki kulaumu wenzio
Lawama zako hazina msingi, bembeleza mkeo akurudie!

Majirani na rafiki tulishakukanya sana Amigo,
Heshimu mke na watoto wako,
Heshimu baba na mama nyumbani,
Na wakwe zako uwape heshima,
Shemeji zako pia waheshimu,
Tukawa sisi wabaya kwako,
Shauri wetu hauna maana,
Tukwache kama ulivyo Amigo,
Sababu wewe ni bingwa wa maisha
Mahari umeshalipa Amigo,
Mkeo huna habari naye,
Na leo yamekufika mambo,
Ubingwa wako na mke amekukimbia Eh! x4
Songs list of album: Amigo (1998)
         Title Rating
01   Amigo lyrics  
4.55
02   Sina Makosa lyrics  
3.75
03    Ubaya Hauna Cheo lyrics Add lyrics   -
04    Afro lyrics Add lyrics   -
05    Nimaru lyrics Add lyrics   -
06    Pamela lyrics Add lyrics   -
07    Tamaa Mbaya lyrics Add lyrics   -
08    Maisha Ni Mapambano lyrics Add lyrics   -
09   Paulina lyrics  
4.47
 

Top songs of Les Wanyika lyrics
Amigo lyrics
Paulina lyrics
Sina Makosa lyrics


Last added lyrics
Confessions
Confessions
by Usher
Back to Black
Back to Black
by Amy Winehouse
Waiting for the Punchline
Waiting for the Punchline
by Extreme
Fundamental
Fundamental
by Pet Shop Boys
Years Later
Years Later
by Soulja Slim



Navigation

Browse Artists
Add Lyrics
Lyrics Charts
Lyrics Genres
Today's Lyrics
Search Lyrics

 

Charts

Country Lyrics
Folk Lyrics
Gospel Lyrics
Latin Lyrics
R&B Lyrics
Rap Lyrics
Rock Lyrics
Soundtrack Lyrics

Links

Free CD & DVD Covers
Covers at CDcovers.to
Songs-lyrics.net