|
Them Mushrooms - Jambo Bwana lyrics
Jambo, jambo bwana / Hello, Hello Mister Habari gani, mzuri sana / How are you? Very well. Tuimbe tucheze sote / Let us sing, let us all dance Kiswahili ni lugha ya Africa / Kiswahili is the language of Africa Leo tufurahi hakuna matata / Today let us be happy -- there are no problems Reggae babu kubwa hakuna matuta / Reggae is the godfather -- there are no problems Burudani sali -- hakuna matuta / The rhythm is good -- there are no problems Aah tucheze sote -- hakuna matuta / Aah, let's all dance -- there are no problems Kiswahili ndlo lugha yetu ya Africa / Kiswahili is our African language Upende usipende utapenda kwa hakika / Like it or not, you must like it Michael Jackson kaimba Kiswahili / Michael Jackson sang in Kiswahili Lionel Richie kamfuata ni wa pili / Lionel Richie was another one Mukae vivyo hivyi siku zote kwa amani / You should keep up that spirit always in peace Maisha Africa yatakua na thamani / Life in Africa will be of value Tuimbe tucheze tuseme Kiswahili / Let us sing, let us dance, let us speak Swahili Supu ya uyoga ni tamu kwell kwell / |
|
Last added lyrics |
---|
The Funeral of God by Zao |
Lost and Found by Will Smith |
Moodring by Mya |
Zizanie by Zazie |
Wanna Go Back by Eddie Money |